Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naomba kutambulika rasmi kama mwenzenu hapa JF ninaimani kubwa kwamba nitapokelewa!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu wana JF naomba mnikaribishe rasmi jamvini, nitakuwa makini na mwadilifu. Nashukuru sana!
0 Reactions
9 Replies
986 Views
Jaman member mpya young and active.. Hope u'll enjoy my compan.!!! hodiii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi mgeni jamani naombeni kujiunga nanyi. Asanteni kwa ukarimu wenu.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
nimekuwa nikifurahia mijadala na habari zinazotolewa ndani ya JF na Leo ndio nimejiunga rasmi... nawasalimu wote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ati wapo wabishao kuwa sipo kwenye mbloku! Aisee (I say) hebu wajuzeni bhana, wakateni ngebe zao!
0 Reactions
3 Replies
739 Views
napenda kuwasalimia ndugu zangu ,kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma kwenye mtandao bila ya kuwa mwanachama ,nimevutiwa sana ni michango ya wanachama wa jamii forum ,imenisaidia nifahamu vitu vingi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community. Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hi
jamani mi mgeni humu naomba mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
WANAJF SAMAMU SANA!! Nimekuwa msomaji mzuri wa threads Mbalimbali ambazo kwa kweli zimenipa hamasa sana kujiunga na Jamvini na kwa kweli nimejiunga ninachotegema zaidi ni ushirikiano ambao...
0 Reactions
8 Replies
825 Views
Wiki mbili magazeti yaliandika dawa ya ukimwi imepatikana .katika blog mbalimbali zilikanusha na mpaka sasa cjackia tena na kulikuwa na ubishani mkubwa mtaani je ni kweli dawa hiyo imegundulika...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
mimi mgeni naombeni mnipokee
0 Reactions
5 Replies
705 Views
Hi naomba niulize , je wasomi wa hapa tanzania wanatumia elimu yao ipasavyo katika kuleta maendeleo ya nchi yetu?kama wanatumia ni kwanini katika secta nyingine kama vile wahandisi wengi wao ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi wana Jamii, naomba mnipokee katika jamii yenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajf,mabibi na mabwana asalaaam aleykum,nipo ulingon tena kwani nilipigwa ban na ilipoisha I had to re-register,i mcd u a lot! This is ijuganyondo!
0 Reactions
4 Replies
767 Views
tupo pamoja nawapa hi wana JF
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Wasalaam magreat thinkers! Naomba mnikaribishe kwa mikono yote miwili na kwa moyo safi ili tuchangie mawazo katika jukwaa hili la siasa. Naomba nijue miiko ya humu ili nisije nikaivunja na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello wanajamii! Hodi hodi wana jamii forums, mimi ni mgeni wenu nimevutiwa sana na maissues yanayojiri ndani, naomba support yenu wakuu! Nawashukuru
0 Reactions
13 Replies
1K Views
habari zenu wana jamiiforum? Nimeamua kuja huku kwa ma great thinkers baada ya kutapa tapa kwa muda mrefu kwenye mitandao mingine ya kijamii ambayo imetawaliwa na majungu,mapenzi kabla ya wakati...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ng'iaaaa, ng'iaaaa, ng'iaaa, hojiii , hojiiiiii
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…