Je ni kweli dawa ya ukimwi imegundulika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli dawa ya ukimwi imegundulika?

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Danp36, Aug 1, 2010.

 1. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wiki mbili magazeti yaliandika dawa ya ukimwi imepatikana .katika blog mbalimbali zilikanusha na mpaka sasa cjackia tena na kulikuwa na ubishani mkubwa mtaani je ni kweli dawa hiyo imegundulika ?mana hata vyombo vya habari kimya.by new member.nataka kujua ukweli tafadhali nijulisheni.
   
 2. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inaaminika kuwa imegunduliwa. Lakini lakini jihadhari sana. Maana dawa za malaria zipo, lakini bado watu wanapukutika sana
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwanza karibu sana hapa jamvini! Swali lako litajibiwa!
   
 4. Mr Ngoma

  Mr Ngoma Senior Member

  #4
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Babu kabla hajaaga dunia aliniambia huu ugonjwa ukiipiga marekani dawa itagunduliwa, naanza amini husia zake, anyway, tuendelee jikinga dawa inaweza fika wakti wengi tumeshaapukutika.
   
 5. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dawa bado ,wako kwenye phase 2 ambayo inamanisha wanandaa mchakato wa kuiweka formula katika dawa.
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  hahaha ha ha
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kulikuwa na magonjwa hatari tena wafa kwa mda mfupi enzi izo hatimae dawa ikapatikana sembuse ukimwi ambao mtu anadunda ata kwa 20 years
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Visit HIV=AIDS: Fact Or Fraud

  Ukitazama hiyo documentary ya wataaalamu utangundua wanasema, wanahisi AIDs is a man made virus. but dunia tunajua vinginevyo. Binafsi sometime naamin AID ilitengenezwa lab na wamarekani. Its a bilogical bomb na inaweza kufanikiwa hasa kwa wabaya wao china na sisi africa tunaingia kwenye mkumbo.

  Ukitaza unawea kuhisi kuwa dawa ipo kwenye shelf somewhere. Italetwa tutakapofikia level fulani ya maambukizi
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Inaafikirisha , inafadhaisha, inakera.
   
 10. B

  BARRY JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 367
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Huenda itatufikia miaka 20 ijayo
   
 11. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza karibu kwenye mkeka!

  swali lako zuri sana,dawa ipo na imepatikana ila nadhani sio kwa ambao madhara yameshaanza kujitokeza!!
  kumbuka tu,kila ugonjwa una dawa yake ila watu wanaendelea kufa!
   
 12. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani eeeh watu wanachukua Daas Loriondo huko na wanapona kabisaaaaaa sasa we zuba mi mwenyewe ninampango wa kwenda kushuhudia watu wanavyo poa ili nilete Taarifa iliyo shiba
   
Loading...