habarini ndugu zangu mwana mnyonge nimejiunga nanyi

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
napenda kuwasalimia ndugu zangu ,kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma kwenye mtandao bila ya kuwa mwanachama ,nimevutiwa sana ni michango ya wanachama wa jamii forum ,imenisaidia nifahamu vitu vingi sana na imenifanya niwe mchunguzi wa mambo na kuwa makini katika maisha yangu ya kila siku .nawashukuruni sana ndugu zangu,mwana mnyonge nimejiunga nanyi kuelimisha taifa hili na dunia kwa ujumla ,
 
Karibu Mwana wa Mnyonge lakini ukipazoea hutaitwa tena Mwana wa Mnyonge kwani hapa baki ya pilikapilika za hapa na pale za kuhuzunisha za kufurahisha siku baada ya siku tunazidi kujenga undugu. Sisi sote ni wamoja. Enjoy JF lakini soma rules mkuu kabla ya yote utapapenda.
 
yaani hapa JF ukikaribishwa na Wiselady, katavi au keren happuch thamani yako inakuwa kuliko uliokaribishwa ikulu ya white house. wewe umepata wawili katika hawa so far. karib sana bana
 
napenda kuwasalimia ndugu zangu ,kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma kwenye mtandao bila ya kuwa mwanachama ,nimevutiwa sana ni michango ya wanachama wa jamii forum ,imenisaidia nifahamu vitu vingi sana na imenifanya niwe mchunguzi wa mambo na kuwa makini katika maisha yangu ya kila siku .nawashukuruni sana ndugu zangu,mwana mnyonge nimejiunga nanyi kuelimisha taifa hili na dunia kwa ujumla ,

..........mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni............................duuuuuuuuuuuuuhhhhhhhh,karibu mwana mnyonge,karibu sana pita mpaka ndani,nawa mikono na unywe chai
 
Back
Top Bottom