Dear Administrators jamiiforum.com
Thank you very much for accepting my registration to join the forum
I will be an active member in sharing what I know with my fellow wananchi katika mikakati...
Hodi hodi jamani jamvini naingia
salam natoa kwa wote mliotangulia
JF ndio makazi mwanajamii kwangu mwana kiwia
Sihitaji kuazima jamvi kwani sina wa kumlilia
Ninachotaka ni mada za moto kuchangia
Siku nyingi sana nilitaman kujiunga nanyi wana jumuiya,leo nimefanikiwa kuingiza guu lang katika forum hii maarufu nchin na hata nchi za nje! Nipokeeni basi wana jamii..