Habari kwa ufupi:
kama kawaida, baada ya kupokea alawanzi kama walivyoahidiwa na mtaalam wa recruitment wa kundi lao.... wazee wa kujilipua ndani ya JF aka suicide bombers wametinga tena...
wakuu wangu nyote mlionitagulia, kwa nidhamu zote naomba mwongozo wenu pale mtakapoona nauhutaji/nitakapoomba.
I really need your cooperation..................
Mimi ni mshiriki mpya katika jamii kubwa hii ambayo ni darasa kuu la wanajamii ktk kuleta ufahamu kwa njia ya kuhabarishana yaliyo bayana na kweli ili kujenga jamii inayojitambua ilipo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.