Wana wa JF Habari

Wana wa JF Habari

Doc

Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
38
Reaction score
2
Wajumbe wa jamvi,nafurahi kujiunga kwenye jamii hii..naamin elimu na burudan ntapata ya kutosha.ahsanten
 
Nop,nipo kishule zaid,ie not yet 2 that level jac
 
karibu sana, kumbuka mashariti,

usisahau mkono mtupu haulambwi.
 
Teh teh,thnks "wakwanza",nimekusoma
 
Wajumbe wa jamvi,nafurahi kujiunga kwenye jamii hii..naamin elimu na burudan ntapata ya kutosha.ahsanten
<br />
<br />
Karibu jamvini Dogo! Ila usisahu kanuni ya Ibara zote! Na ujuwe mkono mtupu haulambi Kijana! Welcome Best!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom