Mkuu...
yaani kama nawaona na vibegi vyao vya mgongoni, laptop used na vile viredi kadhaa wakipaki huku wanacheki modem zina kiasi gani cha alawanzi waanze kulamba mafuba....!!!
As usual wakongwe hawana shaka ni different ID with the same password, ila vile vipya bado vinatumbua macho na kuangalizia utafikiri wanafanya matriculation test
LOL............... Boss and Chatu Dume, i am just having fun coz i know how they operate wakuu
ITS really funny