Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wapendwa napenda sn kuungana nanyi wana great thinker kuchangia mawazo pamoja nanyi. NAOMBENI MNIPOKEE kwanza ndo niweze kutoa michango yangu.
0 Reactions
32 Replies
2K Views
kwa heshima na taadhima naomba ridhaa ya kujongea kwenye jamvi hili la watu makini!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mm mgeni humu. Naombeni ushilikiano wenu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenyu wana jf , kwakweli nimekunwa na haya majambozi ya jamii forum sasa tuko pamoja ili tuweze kushare huu utamu wa jf.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kuwa mwanafamilia mwenzenu, ndani ya JF Thanks Guys
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ni muda mrefu nilipotea ila ni kutokana na matatizo ya hapa na pale ambayo hayakuweza kutatulika kwa haraka.Naomba munipokea kwa mikono miwili
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,nimesoma sn post za humu na zimeniponya maradhi yangu,nimeamua kuhamia rasmi,naomba kuwakilisha.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
jamani ehh napenda kujiunga pamoja na nyie ,nikaribisheni kwa upendo wa kwetu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Nimekuja wandugu, Tuepushe Mihemuko. Tukitaka hoja zetu zidumu na kuacha mnyororo wa historia isiyo laumiwa tusimame katika ukweli. Tusiogope polisi katika kusema ukweli bali tumuogope...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nabisha hodi kwa mara ya kwanza jamvini.Imenichukua takribani miaka 3 kuweza kupata access ya acc yangu ya humu jamii forum. Nadhani wengi wamejiuliza inakuwaje nimejiunga muda mrefu hivyo tokea...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani mimi ni mwana jami mwenzenu Nimevutiwa na jukwa hili ndo maana nimeamuwa kujiunga Ni pokeeni Ila naomba kuwauliza Watanzania wenzangu: Hivi TANESCO ni shirika la kusambaza umeme Nchini au...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana Jukwaa ni mgeni wenu naomba mnipokee katika Jukwaa hili tukufu
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Hello wana jf i'm new member,hope 2po pamoja,thnx&regard
0 Reactions
10 Replies
917 Views
habarini humu ndani, Mie Asha ngedere naombeni mnipokee. Sitaendeleza tabia za ugomvi humu ndani.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani natumaini mu wazima kabisa. Naomba nipige hodi rasmi katika mkeka huu adhimu. Niko pamoja nanyi na ninawapenda sana.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
hallo wanaJF, Naomba mnipokee kwa mikono miwili hapa jamvini.
0 Reactions
9 Replies
974 Views
Thanks for impressing me, because your impressions has conviced me to join the forum. Let's use this place for benefits. I love you all.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilikuwa nasikia tu.kumbe hata mimi nimeweza kuwa mdau.ni jukwaa zuri kuwepo.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba mnikaribishe ni mwanachama hai wa jf
0 Reactions
11 Replies
2K Views
im new member in this site, so i just wana say hi to all members, thnks!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…