Hodi jf

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,222
2,905
Habari zenu wakuu,nimesoma sn post za humu na zimeniponya maradhi yangu,nimeamua kuhamia rasmi,naomba kuwakilisha.
 
Karibu Cantalisia; Fr Fillipe hajambo? Ila kama unamtafuta Salvador mimi sijamuona bado!
 
Habari zenu wakuu,nimesoma sn post za humu na zimeniponya maradhi yangu,nimeamua kuhamia rasmi,naomba kuwakilisha.
Karibu ila ujiandae kujenga hoja kama mtu aliyeenda shule au kifupi uwe greater thinker na usiwe wale wanaopigwa ban na kuja ID mpya.
 
breakfast_buffet1.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom