hodii!!!

hodii!!!

Articulator

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
194
Reaction score
141
kwa heshima na taadhima naomba ridhaa ya kujongea kwenye jamvi hili la watu makini!
 
windhoek inayotoa jasho tafadhali,katavi bado hajawasili...nitakutumia via dhl!
 
karibu sana mkuu hapa ndo jamvini jiskie huru, misaada yoote utapata, ila ujikumbushe mwenyewe kwenye kula,
 
Back
Top Bottom