Jamani naomba mnisaie kwa hili, nilipewa kiwanja na ofisi ya ardhi baada ya mmiliki wa kwanza kunyang'anywa sasa baadae ofisi hiyo hiyo inataka kuninyang'anya kwa kisingizio kuwa haijawahi...
Kwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa...
Hodi jamani.....
Nimekuwa nikifuatilia mijadala na mada mbalimbali kwa muda mrefu sasa. Nikaona na mimi nikae kabisa jamvini ili kuendelea kujifunza zaidi na kuchangia pale ninapoweza!
Thanx all...
Nimatumaini yangu kwamba jf hakuna wababaishaji kama fb coz mnajiita great thinkers.kwa kipindi hichi ninachongoja matokea nina imani kuwa mtaona ni namna gani kichwa changu kimefanya kazi kwa...
Nashukuru mungu kunijalia kuweza kujiunga na jamii ya wa tanzania nimejaribu mara nyingi na mara zote sikufanikiwa inshala leo mambo safi jamani nikaribisheni mimi mgeni jamii forum
hi peoplessss!!!!!am american girl....i dont even know hoe to speak and write swahili but i have known some few words....though am not good in swahili even sometimes i dont really know what jf...