Faraja Rejesheni Aminini Nimerudi Kambini jf(baada ya kumaliza frm4)frank.

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Nimatumaini yangu kwamba jf hakuna wababaishaji kama fb coz mnajiita great thinkers.kwa kipindi hichi ninachongoja matokea nina imani kuwa mtaona ni namna gani kichwa changu kimefanya kazi kwa miaka 4 ya o-level kwa kuona mawazo yangu nitakayotoa ndani ya huu mtandao.i hpe we r as 1 family.. Wana JF nipokeeni.,
 
Karibu sana jamvini, ila yale mambo ya facebook usiyalete humu!
 
umemalza shule gan?
Alaf naomba namba yako ya mtihan..
Je una uhakka wa kupata 1?..
Epuka matuc ucje ukapata ban..
Karbu sana mtu wangu jukwaan..
 
Nimekuchanganya na yule Senetor anayesifia mlimani kila siku.

Ok, karibu ila vigezo na masharti vinazingatiwa.
 
Karibu sana. Mi mwenyewe nasubiria majibu ya form four. Sijui tutafaulu!
 
Nimatumaini yangu kwamba jf hakuna wababaishaji kama fb coz mnajiita great thinkers.kwa kipindi hichi ninachongoja matokea nina imani kuwa mtaona ni namna gani kichwa changu kimefanya kazi kwa miaka 4 ya o-level kwa kuona mawazo yangu nitakayotoa ndani ya huu mtandao.i hpe we r as 1 family.. Wana JF nipokeeni.,

Mbona mtihani wako wa hesabu umechorachora tu katuni za kipanya, yaani ulishindwa hata kunakiri tu maswali kama yalivyo? Karibu JF
 
Nimatumaini yangu kwamba jf hakuna wababaishaji kama fb coz mnajiita great thinkers.kwa kipindi hichi ninachongoja matokea nina imani kuwa mtaona ni namna gani kichwa changu kimefanya kazi kwa miaka 4 ya o-level kwa kuona mawazo yangu nitakayotoa ndani ya huu mtandao.i hpe we r as 1 family.. Wana JF nipokeeni.,

hatujiiti, sisi ni magreat thinkers kiukweli!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom