Nimekuwa nikiwasoma humu kwa mwaka ss ila nilishndwa kujiunga cjui tatzo ni hka kasim maana leo nimekja mjn ndio nimekrbshwa kuptia kalaptop. jiandaeni kula vya shamba
Dah..At last nimepata nafasi ya kuingia kwenye hii familia baada ya kuelekezwa mara kibao na marafiki zangu!! Mada motomoto zilizomo humu ndani zinaamsha mwili na kunipa moyo zaidi kuwa bado kuna...
Hodi Hodi wanaJF
Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi
Mungu ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.