msauzi wa bongo Member Oct 26, 2011 11 0 Oct 26, 2011 #1 hodi hodi waungwana,ni mie msauzi wa bongo ndani ya janvi,naomba mnipokee!,kwani kuku mgeni hakosi kamba mguuni!
hodi hodi waungwana,ni mie msauzi wa bongo ndani ya janvi,naomba mnipokee!,kwani kuku mgeni hakosi kamba mguuni!
msauzi wa bongo Member Oct 26, 2011 11 0 Oct 26, 2011 Thread starter #3 yangoma nakula serengeti ya baridiiiiii!
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Oct 26, 2011 #7 msauzi wa bongo said: yangoma nakula serengeti ya baridiiiiii! Click to expand... Fungua friji hilo kubwa kwenye kona kuna vinywaji vya kumwaga, jihudumie mkubwa.
msauzi wa bongo said: yangoma nakula serengeti ya baridiiiiii! Click to expand... Fungua friji hilo kubwa kwenye kona kuna vinywaji vya kumwaga, jihudumie mkubwa.
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 27, 2011 #11 karibu msauzi wa bongo!! lete stori za bondeni!