Hi Folks,
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifutilia threads mbali mbali katika jukwaa hili, nimekuwa nikiguswa na fikra pevu na mawazo yakinifu ya members.
Baadaya ya kuwa shahidi mnyonge kwa muda...
Nafurahi sana kuwa mmoja kati yenu kama great thinker.Natumaini kujifunza mengi toka kwenu hasa ya kunijenga mimi,jamii yangu na nchi yangu kwa ujumla.
Mimi ni Mbunge na sasa nimeamua kuwa mwanachama wa jf kwa mark hii mnayoiona , nafikiri jambo la msingi leo ni salamu nakuwapongeza wote wanaoshiriki katika mijadala mbali Mbali . Nitatangaza jina...