It was along day coming

It was along day coming

Cyclone

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
71
Reaction score
14
Hi Folks,
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifutilia threads mbali mbali katika jukwaa hili, nimekuwa nikiguswa na fikra pevu na mawazo yakinifu ya members.

Baadaya ya kuwa shahidi mnyonge kwa muda mrefu imenibidi nijitokeze hadharani na kuwa mshiriki. tuliendeleze hili gurudumu la Fikra Pevu kwa Nguvu na Kasi itakayo hitajika.

Ni hayo tu kwa leo.
Nimekaribia
 
Back
Top Bottom