Mimi mgeni bana

Upkenk

Member
Apr 26, 2011
31
1
Mambo zenu wazeiya ndo naanza lakini nilikwisha jiunga kitambo.xo ukiniona salamu kwa sana! pamoja mzazi
 
Ndio. nipo pia facebuk ! unanifahamu nini mbona umelenga facebuk?
 
Mambo zenu wazeiya ndo naanza lakini nilikwisha jiunga kitambo.xo ukiniona salamu kwa sana! pamoja mzazi

Karibu sana mkuu.

Mh! Lakini hiyo style yako ya kuongea na kuandika haitafaa hapa JF!
 
Dah vijana lugha zenu hizo, "wazeiya" ndio nini?
Anyway, KARIBU
 
Asanteni wote.mi nipo au sio. ntawachek ka vipi! au niaje niaje we ni cheki au thio wakuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom