Hodi hodi wana jamii forum

Hodi hodi wana jamii forum

Yerusalem

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
71
Reaction score
77
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi , naomba mnipokee
 
Karibu Sana ndugu. Jisikie nyumbana ila Nakuusia Ufuate Sheria Usije Ukapata Matatizo.
 
Ahsante sana ndugu,Nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kufuata sheria
 
Ahsante ndugu wote kwa kunikaribisha kwenye hili jukwaa
 
karibu sana
ila kama hufuati sheri huwa wana bann jihadhari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom