new!!

new!!

Dodorita

New Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Habari wapendwa mi ni mgeni humu nategemea ushirikiano wenu wapendwa,,,,,,,asante!!
 
Habari wapendwa mi ni mgeni humu nategemea ushirikiano wenu wapendwa,,,,,,,asante!!
karibu poti,mimi mwenyewe mgeni mwenyeji maana nimejiunga leo ila kwa kuwa nimekutangulia naomba niwe mwenjyeji wako. karibu,karibu sana.
 
Karibuni wageni. Nipo humu toka 2008, kama una tatizo una swali usisite kuniPM. Pia, zingatia masharti ya JF. kARIBU
 
Karibu sana mdau. Feel Free
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom