King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,603 68,514 Nov 11, 2011 #4 Karibu mwambie mods waongeze o hapo hili iwe joomla lol kiddin Wakaribishwa sana JF
K kabalizuka Member Nov 11, 2011 99 24 Nov 17, 2011 #12 jamani mi nishaingia maana nilikuta mlango wazi,tuko pamoja wana jf.
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Jan 4, 2012 #16 Karibu sana JF. Ingia mpaka ndani wala usivue hata viatu
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Jan 4, 2012 #18 Karibu sana Jamii Forums ni kisiwa kizuri kwa kila kitu.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Jan 5, 2012 #19 Sigma said: Click to expand... mmmh!! Sigma bhana staili yako ya ukaribisho imetulia!