Nimerudi kupiga hodi maana nilipitiliza

Nimerudi kupiga hodi maana nilipitiliza

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,143
hodi hodi humu ndani japo nilishapitiliza ila nimeamua kurudi tena kuwapa taarifa kama nishavamia humu
 
Karibu sana..jisikie upo nyumbani. Kwakuwa ulishapitiliza hatukupi tena kinywaji cha mgeni...
 
Hahahahaaaa unafaa ujikaribishe sasa kwa kuwa wewe ni mwenyeji sasa
Anyway
Karibu sana sana
 
Karibu pitia menu
liquor1.jpg
 
Back
Top Bottom