Nashukuru kwa ukaribisho

Nashukuru kwa ukaribisho

Kiumbe duni

Senior Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
100
Reaction score
8
Nashuru wana jf wote kwa ukaribisho. Nimeupenda sana huu mtandao ila kutokana na ugeni wangu wa kutumia mtandao pamoja na uzoefu nimekuwa nikikosea sana kutuma post zangu, badala ya kukaa jamvini zimekua zikienda direct kwa mhusika. Sorry kwa waliopata usumbufu huu, ninaendelea kupata uzoefu. Ahsanteni sana.
 
kwa hiyo wewe uwezi hata kufikiri duu btw welcom sana mkuu...
 
Nashuru wana jf wote kwa ukaribisho. Nimeupenda sana huu mtandao ila kutokana na ugeni wangu wa kutumia mtandao pamoja na uzoefu nimekuwa nikikosea sana kutuma post zangu, badala ya kukaa jamvini zimekua zikienda direct kwa mhusika. Sorry kwa waliopata usumbufu huu, ninaendelea kupata uzoefu. Ahsanteni sana.

Madhani najila lako linachangi yote hayo!
Karibu !
 
Back
Top Bottom