wadau nipokeeni

wadau nipokeeni

Mghoshingwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
305
Reaction score
74
Nimekuwa member kwa muda wa takribani miaka miwili sasa. nilikuwa nasoma thread mbali mbali na coment za member malimbali. hata hivyo kwa kipindi chote hicho nilkuwa mgeni coz nilikuwa kimya tu. Ila najitokeza rasmi leo kujitambulisha kwenu, na kuomba ushirikiano wenu, ili tuondoe ujinga na umaskini wa fikira, uwoga wa kujenga hoja, na kuleta mapinduzi ya kweli ya kidemokrasia. ASANTENI SANA.
 
karibu
wewe kweli mpya
yaani wamekufunga manailoni mwengi
ila visigino, vimevunjika
wasafirishani hawakuwa makini

anyway unafaa soko la ndani
hatutaku-export.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom