Nabisha Hodi kwa kishindo Jamvini ...Napenda kuchukua nafasi hii kuushukuru uongozi wa JF kwa kunipokea .Naahidi kufuata kanuni na taratibu ili kulisukuma gurudumu hili
Hodi hodi naingia,
Humu ndani nikishangilia,
Natumai mtanipokea,
Na sheria nielezea,
Nimechoka kuchungulia,
Bila chochote kuchangia.
Sasa natulia,
Kukaribishwa nasubiria,
Nisije nikachangia...
Habari wana JF,nimekuwa nikipita kama mgeni mara kwa mara lakini nimeamua kuingia rasmi kama member ili tuweze kujadili mambo yanayoligusa taifa letu kwa ujumla wake pamoja,naombeni ukaribisho...
Naomba tujadili hili la matumizi ya dola wakati watanzania wengi mishahara yao inalipwa kwa madafu. Mimi ni mmoja wa wateja wa Dstv tanzania inasikitisha monthly subscription fee ni USD 78. Ni...
Natanguliza salaam za kheir..asalaam aleikhum warahma kwa waislam..amani ya BWANA iwe kwenu kwa wakristu..kwa rika langu mambo vipii masela na masistaduu..na kwa wakubwa zangu shkamooni.nimekita...
Mie mgeni hapa kwa kujiunga sikuzote nimekuwa nikiingia kama guest. Baada ya JF kufagiliwa kule Bungeni nikaona kumbe hii kitu balaaa. Waraka wenu wa Ufisadi wa Blandina Nyoni umesambazwa kwa watu...