Matumizi ya dola yatatumaliza watanzania

RKajage

New Member
Oct 18, 2011
1
0
Naomba tujadili hili la matumizi ya dola wakati watanzania wengi mishahara yao inalipwa kwa madafu. Mimi ni mmoja wa wateja wa Dstv tanzania inasikitisha monthly subscription fee ni USD 78. Ni kweli sheria iliyopo inakataza mtoa huduma kutokataa pesa ya kitanzania kama mtoa huduma gharama zake zipo kwa USD. Hii haimsaidii kitu mtanzania hata kidogo kwani kushuka kwa thamani ya Tshilingi haimuadhiri hata kidogo mwekezaji kama Dstv. Na sina uhakika kama wafanyakazi wa Dstv wa hapa tanzania kama wanalipwa kwa dola mishahara yao. Kwa mtazamo wangu huu ni aina ya ufisadi kwa watanzania na Dstv anafanya hivi kwa sababu ya monopoly ya huduma anayoitoa. Tujadili...
 
Mkuu kama unaona gharama dstv kubwa bora uache.. Starehe gharama mkuu.
 
Ni kweli tunaumia lakini tutafanya nini na starehe tunataka?
 
mkiamua kuweka wazi hlo litaisha, pale imtu tulikua tunalipa kwa dola, tuka-fight mpka sasa wanalipa in tsh. (japo cpo tena pale,maana tusingekua salama kwan ulikua ulaji w watu,exchange rate kwa wanafunz ilikua 1700 mpka 1800,mshahara wafanyaka walilipwa kwa xchange y 1100)
 
Back
Top Bottom