Mnusaji
Member
- Feb 16, 2012
- 67
- 22
Mie mgeni hapa kwa kujiunga sikuzote nimekuwa nikiingia kama guest. Baada ya JF kufagiliwa kule Bungeni nikaona kumbe hii kitu balaaa. Waraka wenu wa Ufisadi wa Blandina Nyoni umesambazwa kwa watu kibao kwa njia ya e mail ila waliousambaza wa ka aknowledge kuwa sosi ni Jf........sasa wabunge wengine wamejiunga humu JF...........na wanatamani wawe kama dada regia alivyokuwa jasiri humu ila bado waoga. Mie kama mnusaji nitaendelea kunusaaaaa weeeeeee nitakachonusa nakimwaga jamvini.
Poa basi kama nimeanza kwa biti mtanisamehe
Poa basi kama nimeanza kwa biti mtanisamehe