Hodi

Hodi

am me

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
38
Reaction score
11
Hodi humu ndani wana jamii,humu ndan mi mgeni naomba ukaribisho wenu.ahsanten kwa wenu ukarimu.
 
Umetokea wapi? Hapa sio pa kupokelea wageni bana unaharibu pozi......enewei karibu sana!
 
Duh!! Katavi bana, anyway Mgeni karibu ndani.
 
wewe unaonekana ni mwenyeni kwa sababu umeshajua hadi chumbani
 
Duh!! Katavi bana, anyway Mgeni karibu ndani. Msameheni bado yeye mgeni.
 
Mgeni karibu ! Mpishi wa zamu kantuma nikuulize unakulaga wali wa maji , au pilau ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom