Nikaribisheni baba yenu nabisha hodi JF

Nikaribisheni baba yenu nabisha hodi JF

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,707
Kama mnionavyo kwenye picha, mie ni Father of All hasa wale wanaoruka. Naingia ukumbini kwa mara ya kwanza baada ya kusimuliwa uzuri wa uwanja huu. Wanangu napiga hodi hivyo nikaribisheni.
 
Aaaaa wewe peleka ufather kwa wanao na mkeo nyumban kwako hapa wewe ni kama kindagaten tuu.
Kama huamin zingua wanajamvi ndio uone.
Mkuu hapa hakunaga ufather bana.Huo uporoto wako peleka facebook bana.

Ila kalibu jaribu kuruka ukuta funguo kaondoka nazo INVISIBLE
 
Karibu sana lakini hapa aliyekutangulia ndo father wako coz ndo atakuonyesha njia. haya geuga niangalie kama umeshabanduliwa rebo.
 
Back
Top Bottom