Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au?

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by selopheady, Feb 27, 2012.

 1. s

  selopheady Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya airtel money namba zilezile cha ajabu baada ya kuangalia salio langu nakuta sh.800 ambavyo sijawahi kuweka pesa. Na vilevile zile pesa nilizotumiwa hazionekani kila nikiwapigia wanatoa visingizio vya mtandao unasumbua yapata mwezi na siku kadhaa sasa.HEBU WANA JF nipeni ushairi au wazo.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mkuu jukwaa hili ni la MAPOKEZI NA UTAMBULUSHO....Anyway Pole sana....
  Nenda ofisini kwa watakusaidia ni mambo ya kawaida kwa sysytem nyingi.
   
 3. s

  selopheady Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri wako pamoja na kuwa hapa nipo kijijini mbali na ofisi zao.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu,hii inefaa kule kwenye malalamiko au hoja.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Pole sana, funga safari uende mjini ukawaone wenyewe!
   
 7. s

  selopheady Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa waungwana ushauri wenu nimeupata na ntaufanya kazi.Asanteni sana.
   
Loading...