Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
ei, mi mtumizi mpya wa jamii forums, nimefurahi kuwa"fahamu".. nili"fika" leo tu.. mambo yanayonivutia> siasa, utamaduni, activism, na mambo ya kijamii.. musiki.. kama mgependa kusikiliza musiki...
0 Reactions
3 Replies
651 Views
helow guys iam new here
0 Reactions
5 Replies
759 Views
Habari wamajamii mpo i am a new
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ningetamani niwe nimeingia kitambo ila 'kawia ufike' walinena wahenga. Nami najipa moyo kuwa mimi siyo wa mwisho kwani bado watakuja/watajiunga wengine humu baada yangu. Baada ya hayo sasa naomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi wanajf nimeingia naombeni mnikaribishe kwenye chama
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habarini ma Bibi/Bwana...na2mai Mungu anasaidia na kila ki2 kinaenda sawa kiwe kizuri au kibaya ndo imepangwa hiwe hivyo....
0 Reactions
5 Replies
963 Views
jamani kwanz ningpenda kuwatak radh wakongwe wa jf kwa kuingia seblen bila kupga hod bcoz nimekuwa hapa karb cku ya 3 bila kujua kama kuna utartb kama huo ,pili ningependa mnikarbshe kwa mikono...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Hi!wana jf,mimi ndio kwanza naingia jamvini japo kuwa huwa napitia jf karibu kila siku,lakini sasa naingia rasmi.I like jf coz kuna vitu huwa vinjadiliwa jamvin ndio maana leo nami nikaamua kujitu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
HODI, HODI, HODI ! Naingia, nauliza namna ya kurudisha 'password' ya 'memory card' ya simu. Natumia Nokia 6303. AHSANTENI
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Hodi wenyeji bwana yesu asifiwe.naomba mnipokee ndugu zangu ,nimeamua kujiunga na familia hii ili tujadiliane
1 Reactions
3 Replies
756 Views
Habarini wanajamii... I look forward to partaking in this forum and gaining from the wide spectrum of involvement here. Voice is Knowledge and Expression is Intelligence. Jamii Juu!
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Habari wana JF,mimi ni mgeni katika jamvi hili japo nimekuwa nikipita tu kwa nadra na sasa nimeingia rasmi!!kwa pamoja tuendeleze libeneke hili,together we can!!!
0 Reactions
6 Replies
807 Views
am hapy jins vijana tunachambua nchi yetu
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Habar zenu waungwana wa Jf! Napenda kubisha hodi kwny uwanja wenu wa kujidai....
0 Reactions
9 Replies
911 Views
Wamjambooo? Well,to begin nawaombeni ushirikiano wenu recieve me with open heart,plzzz JF members =) Thanks
0 Reactions
5 Replies
926 Views
Habari zenu waungwana? Kwa heshima na taadhima naomba ukaribisho wa hali na mali katika JF.Remember, intelligence is not just about English and Maths.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wadau
0 Reactions
6 Replies
741 Views
hodi hodi hodi! Hebu nikaribisheni kwa kunjibu hiki kitendawili 'KAPIGWA CHINI KAVIMBA JUU!' naomba mnipe jibu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana ndugu.mimi ninaipenda sana jf ila ninasumbuka sana kujisajili.naomba mnisaidie tafadhali kwani nikishasajili jina then nikitoka na nikijaribu kuingia inakataa nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
702 Views
Number is not better than knowledge.
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Back
Top Bottom