Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Am new member from where nileperch are found!
0 Reactions
5 Replies
733 Views
Hopefully people here are enjoying the environment,thus y i decided to join the forum,i hope i'll find interesting people n friends to chat n share ideas...........
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello jamani! Nikaribishen mkombozi wenu kwa wote mnaoonewa na magwanda.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kujitambulisha kwenu na naomba mnipokee tupeana ushirikiano.
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Nawasalimu wote wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii. Nimekuja rasmi kwenye forum kutoa mchango wangu kwenye mada anuwai kwa lengo la kuelimishana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mm mwana jamii mwenzenu naomba tuwe pamoja,lv u all !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:flypig::flypig:
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Mimi nimeingia humu nipokeeni kwa mikono miwili nikiwa kama mgeni ktk jf.
0 Reactions
5 Replies
895 Views
Hodi rasmi, ma bibi na mabwana. Nilichelewa kujitambulisha nilikuwa nakamilisha taratibu za kupata VISA ya kuingia kwenye hii "ndenge" iliyo na kila aina ya "abiria". Hivyo nikuombeni ruhusa ya...
0 Reactions
11 Replies
958 Views
Nimekuwa mwana ccm muda mrefu, ila kwa hakika hakuna jipya ambalo twaweza kulipata toka chama hiki kinachokumbatia ufisadi kama sera yao! Kwa wenye mapenzi mema na maendeleo ya nchi hii, jibu ni...
0 Reactions
4 Replies
833 Views
wana wa jf hodi tena ukumbini nilitoka kwa muda kiasi ,nimerejea tena nilikotoka hawajambo wanawapa hai na poleni na majukumu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Jf am glad kujiunga na zone kubwa ya wanaharakati, great thinkers.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wanajamii forums wote mimi ni memba mpya humu naitwa mtoto wa kuku.Dhumuni la kujiunga ni kujaribu kuongeza maarifa upande wangu na kutoa ujuzi wangu kwa jamii naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
947 Views
Mimi member mpya. naomba mnikaribishe. asanteni
0 Reactions
4 Replies
850 Views
hi kwa wanajamii forums wote mi ni memba mpya humu naitwa mjuzi wa mambo.lengo la kujiunga humu ni kujaribu kuongeza ujuzi wangu na kutoa ujuzi wangu kwa wengine naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
893 Views
Nafurahi kujiunga na JF! Natumai nitajifunza mengi kutoka kwa wanajamii! THANKS!
0 Reactions
5 Replies
957 Views
nimekuwa nkifuatilia this forum 4 while. nimeikubal. plz let me in. I got lot to share with u
0 Reactions
5 Replies
824 Views
nimekua napita humu mara nyingi nikisoma post mbalimbali.nimependa sana wakuu wanavyosema mambo kwa ukwel na undan kabisa.nimelipenda sana jukwaa la ufundi na science.pamoja wakuu!
0 Reactions
3 Replies
849 Views
jamani kupiga hodi kwa wenyeji sio ujinga ila kuomba ruhusa nijambo la kiungwa mpaka hapo nazani sina pinga mizi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo zenu? Nahitaj suport yenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wana jamii wote mlionitangulia. "I GREET YOU IN THE NAME OF JAMIIFORUM" asante kwa kunitegea sikio. nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Back
Top Bottom