Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodi hodi hodi! Hebu nikaribisheni kwa kunjibu hiki kitendawili 'KAPIGWA CHINI KAVIMBA JUU!' naomba mnipe jibu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana ndugu.mimi ninaipenda sana jf ila ninasumbuka sana kujisajili.naomba mnisaidie tafadhali kwani nikishasajili jina then nikitoka na nikijaribu kuingia inakataa nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
703 Views
Number is not better than knowledge.
0 Reactions
4 Replies
666 Views
Mupo wana wa the home of great thinkers? Namie ni m1 wenu...
0 Reactions
4 Replies
636 Views
am a new member of jamii forums tc very nice na i regrate why i ddnt pop in earlier
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Wadau nimekuwa nikiifuatilia sana hii site toka kitambo nikiwa kama mtazamaji, lkn leo nimeona na mm niungane na ninyi ndugu zangu katka kuhabarishana. Naomba ushirikiano wenu wakuu.
0 Reactions
3 Replies
880 Views
mmb vp wana JF? naamini mko pouwah.
0 Reactions
7 Replies
902 Views
We ought to know that now Tanzania had matured citizen,and we fulfill to use our sense.
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Wana JAMII FORUM wote hope wazima kabisa nachukua nafansi hii kujitambulisha kwenu,mara ya kwanza kabisa ktk mtandao huo,kwanza najiskia furaha sana kuwa member mwezenu nilikuwa nikisoma nakupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani nina haraka... nawahi chumba cha siasa!!
0 Reactions
6 Replies
767 Views
Wana JF, Salaam! Mi' ni mgeni,nawaomba mniruhusu niingie ndani,ili nami niwe mmoja wenu! Sina shaka nami MTANIAMBUKIZA,U-Great think wenu! Natanguliza shukran!
0 Reactions
8 Replies
846 Views
Nini maana ya jamii forums.
0 Reactions
5 Replies
995 Views
mwambaje?
0 Reactions
6 Replies
956 Views
Karibu! kama ndio hodi? Je mwanipokea wna JF :yo::yo:
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Salaam, natumaini mmeshanipokea.
0 Reactions
7 Replies
989 Views
Naomba niwasalimu wana jf, nikaribisheni jaman
0 Reactions
6 Replies
886 Views
Hey iam new here its my hope that i'll learn a lot from you guuuyz!!!!!
0 Reactions
6 Replies
771 Views
Hodi wadau ,imenibidi nirudi kugonga mlango maana nilikua nimeingia bila kubisha .Ng'o ng'o ng'o
0 Reactions
6 Replies
801 Views
I'm a guest here and i hope we will share the ideas...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
vijana hebu tujiulize maswali mengi yasiyo na idadi,huenda ubongo wetu na ufahamu ulio ndani yake utagutuka na solution iliyo bora.Je wewe hapo unafanya nini kilicho bora zaidi kwa maisha yako ya...
0 Reactions
5 Replies
829 Views
Back
Top Bottom