Asalam aleykum,Bwana asifiwe Watanzania wenzangu.
Awali ya yote Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimeifuatilia tangu nipo shule mwaka 2018, hivyo naombeni mnipokee.
Kuna kitu nakiona na kinaniumiza...
Hiki ni kiumbe kigeni kabisa humu... kinahitaji ushirika wa mambo mengi sana... yale ya sirini msiogope kuni PM na yale yanayojadirika natia miguu yote humo... npo single so sihitaji usumbufu...
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.
Napenda kushukuru kwa uongozi...
Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.
Kama kuna kitu natakiwa...
Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa.
Naam mara...
Jamani baada ya mda mrefu nimerudi sema ile account ya Troll JF nimeshindwa ku recover . Nikatengeneza nyingine lakini napambana kuirudisha ngoja niwasiliane na CEO Maxence Melo
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.
Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo...