Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hi
Mambo zenu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf nimerudi toka jela ila kifungo sikustahili kabisaa ,wapi ze duduz,ipycalypse,ninga r,madamperry,madammakamuzi!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuja kujisalimisha,niliingia majukwaa mengine ya JF bila ya kupitia hapa.Hakuna sababu ya kuniitia mwizi,nipo mlangoni hodiiii.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku nzuri imetimia, naomba mnipokee kwani mimi ni mgeni kwa kiasi flani.
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Michango hiyo inapokelewa na Mweka Hazina wa Iringa Press Club kwa M Pesa, Tigo Pesa namba 0713654945 na Mjengwa Blog. Michango hiyo inaratibiwa vizuri na itafikishwa kwa mjane wa marehemu katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NASHINDWA kuyazuia machozi yangu yanapobubujika na kudondoa kwenye kope za macho yangu hasa ninapokumbuka kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi na watanzania wengine waliokufa na kujeruhiwa kwenye...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Naingia ndani ya majukwaa yenu enyi wafikiriaji makini! Nahitaji nami kukua kuwa mfikiriaji makini,naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
911 Views
hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
salam wanajf mim ni mwanachama mpya wa jf kujitokeza hadharan ila huwa nasoma post zenu karib zote leo nimependa niwe mwanajanvi naomba mnipokee.
0 Reactions
5 Replies
850 Views
Nimekuwa nikifuatilia topics mbalimbali humu JF kama guest, nimeona umefika wakati wa kuwa member wa JF. Naomba kukaribishwa na wenyeji. Asanteni sana.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF,mimi ni new member naombeni mnipokee.
0 Reactions
2 Replies
756 Views
jamni habari zenyuuuu wakubwa shkmooo n wemngine wote mamboooo...:bolt:
0 Reactions
2 Replies
800 Views
I am new here guys, Lets just enjoy the New World of Technology. Thank you and regards.
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Habari za hapa jf?
0 Reactions
0 Replies
732 Views
wa jf,ni mgeni muongozo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mie mgeni humu, hamjambo?
1 Reactions
4 Replies
904 Views
Leo ndio naingia rasmi.
1 Reactions
4 Replies
796 Views
Naomba kuwa mwenzenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahoja nzto zisizo na shaka, am here kw ajil ya kushare na ma great thnker,
0 Reactions
4 Replies
805 Views
Jamani wenyewe mpo? Kwa mara ya kwanza tangu nijiunge na jamii sasa wanajamvi naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia mawazo yangu pamona nanyi.
0 Reactions
5 Replies
793 Views
Back
Top Bottom