Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani nimerudi nilipotea kitambo sanaaaaaa,,,,,, nimejea na niko tayari kwa mapambano liwalo na liwe
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hi guys,mi mgeni nikaribisheni jaman
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hi
habr! Za siku wana jf, mi ni mgeni wenu naomba kupokelewa. Nasema, hellow!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi nimejiunga hivi karibuni na jf.ni tumaini langu kuwa mwanachama mzuri nitakayetumia uelewa wangu katika kushirikiana nanyi wenzangu hasa katika kipindi hiki cha mageuzi yanayoendelea hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi there
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Jamana wana JF mie mgeni umu nimekimbia facebook nahitaji muongozo apa kwa watu na busara zao
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari! Nimekuwa nasoma posts za jamii forums tangu 2010. Nimeamua kuwa mwanachama rasmi.
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Hata mimi ni mgeni humu ndani jamani,nimekuwa nikichungulia kwa jicho moja muda mrefu sasa nimeamua kuingia rasmi. Tafadhali nikaribisheni ndugu.
0 Reactions
5 Replies
836 Views
Namisabahini kwa imani ya dini zenu wana Jf woote. Mgeni humu jamvini
0 Reactions
5 Replies
954 Views
Social network niliyokuwapo nimeiacha na kuja hapa jamiiforums 4rever thanks
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Helow Me mgeni,nkaribisheni! Nawasalimu wote kwa imani za dini zenu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi wakubwa
0 Reactions
5 Replies
746 Views
Hi guyz!pliz nikaribisheni.mi mgeni!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
nimekuja kuwashika
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Nimerudi tena,baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
just 2say hellow 2all members of this forum.
0 Reactions
3 Replies
977 Views
jaman mi japo si mgeni saaana ila ckupita jukwaa hili bana asalaam alekhum wakuu kuna umuhim wakupita maana si vizuri kuruka stage na asante kwa kupitia hapa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hey guys,,mm ni member mpya, nafurahi kujiunga na great thinkers
0 Reactions
14 Replies
1K Views
yap mnamind story za samaki mchanga? au una kula? if not korosho or ufuta? NAKUJA NAVYO TOKA LINDI (NIPOKEENIII" OK
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hi
Jamani tumevamiwa humu na vilaza hivi huyu nani kamleta? Sasa hiki ndo nini hivi umeushirikisha ubongo wako wakati unapost? MA..SA,BURI ni kwa kazi ya kukalia sio kufikiri.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom