muksini surdi kanduru
Member
- Apr 16, 2017
- 8
- 3
Waheshimiwa,wababa zangu,wa mama zangu,wakaka zangu, wadada zangu na shemeji zangu mm humu ni mgeni naomba principal na kanuni jins ya kutumia yaani vitu gan vinatakiwa vitugani havitakiwi.
Poa poaujinga ujinga ndo havitakiwi
Naheshimu sana shemeji zangu,sasa nitajuaje kama huyu shemeji yangu?usijifanye kidume cha mbegu kuna shemeji zako huku
Poa poa mkuuKaribu sana JF mjukuu........
Picha please