Hodi hodi waungwana

Mkata miti

Member
Mar 19, 2017
9
5
Naomba mnipokee Mimi mgeni sizijui taratibu za hapa nackia humu ndani watu kuna watu wanamatusi kama nini na jeuri sana. Naomba maelekezo
 
karibu mkuu ,
kuwa mvumilivu kwenye wengi panamengi ,

Na mengi utajifunza taratibu
 
Matusi gani uliomaanisha wewe zamani watoto walikuwa wakicheza baba na mama ndio tunasema matusi wee mtu mzima umeona watu wanafanya nini hapa ammaa siku nyingine usirudie ghahawa wanywa wewe haya karibu
 
Asanteni waugwana kwa kunikaribisha humu nilikuwa kimya kidogo kwasababu nilikuwa buzy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom