Nipokeeni mimi 'kuku' mgeni

book11

JF-Expert Member
Mar 24, 2017
700
390
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Mimi ni mgeni humu jf, naombeni mnipokee na tushirikiane.
 
Utaratibu wa huku ni kwamba kama ndo unajiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa kuweka picha zako tatu tofautitofauti hapa pamoja na namba yako ya simu!.........Karibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom