Nimeingia JamiiForums

Habarini wote wadau wa jukwaa hili,

Ni matumaini yangu mtanipa ushirikiano vizuri katika hii media na kuvuna vilivyomo ndani kwa manufaa yetu sote.

Ahsanteni sana.

samahani mkuu,hujasema kama wewe ni me au ke....halafu jina lako linaendana na koromije
 
Nafac ya me humu imeisha
Otherwise kama ww n ke
Karbu sana kinywaj gani
Unatumia ukate kiu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom