Hacktivist
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 249
- 86
Me ni new member jamani wakuu.....naombeni mnikaribishe
hahahahha new ID mkuuNew member au new I'D
Maana sio kwa neno hilo"WAKUU"
Karibu sana Hacktivist
Asante sanaaaaaaNew member au new I'D
Maana sio kwa neno hilo"WAKUU"
Karibu sana Hacktivist
Sawahahahahha new ID mkuu
ID ya zamani ni ipi mgeni mwenyeji?hahahahha new ID mkuu
male mkuu......Me oo Ke?
hahaha asante....haya karibu tena
sasa joseverest si bora uijue hii mpya tu mkuu ya zamani haina maana tena....hahhahaID ya zamani ni ipi mgeni mwenyeji?
Me...mkuuMe oo Ke?
Duuh poa mkuusasa joseverest si bora uijue hii mpya tu mkuu ya zamani haina maana tena....hahhaha