Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
My solemn salute to my seniors, Maxence Melo, Nyani ngabu and others.I strayed to the forum via the now defunct kenyanlist in the late 2000s. Its been over 15 years being a visitor.Maybe i missed...
2 Reactions
5 Replies
575 Views
Hellow walimwengu natumain mko vzr kbsa mm ni mgen naomba mnipokee
1 Reactions
5 Replies
563 Views
Naombeni ukaribisho wenu
4 Reactions
42 Replies
2K Views
CCM oyeee!! Samia juuuu!! Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..!! Naitwa Paul John. MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari timu ya wana jamii forums? Nafuraha kujumuika pamoja katika jukwaa hili huru.
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Wapendwa amani ya mungu iwe nanyi. naomba mnipokee nawapenda nyote. heaven on earth, evelyn salt,miss chaga napenda kuwa karibu na nyie sana. farkhina unanfurahsha sana hasa kwnye mambo ya mapishi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilipotea muda mrefu hapa baada ya kupata shida ya kulog in , ila now nimefanikiwa baada ya ku reset password
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Habari wakuu naitwa know-ledge ni member mpya hapa katika forum hii baada ya kuwa guest kwa miaka kadhaa.
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi ni member mpya. Naomba mnipokee wana-JamiiForums.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu JF na ID yangu haina hata mwezi mmoja. Nimependa JF Mwana ni mtandao wa kijamii unaokukutanisha Mimi na watu wengi wenye uelewa tofauti tofauti na ujuzi wa mambo anuai...
3 Reactions
6 Replies
527 Views
Hey hey hey n mm new member
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habar na poleni na majukumu naitwa Noel mb ni mgeni humu lakin pia nafurahi kujiunga na jamii forum ,naomba support yenu
4 Reactions
7 Replies
529 Views
Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii. Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu. Asante. Naomba kuwasilisha.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Hi everyone! am deshanny hussein from Tz, Ubungo Dsm. am glad to be here, hope we can share alot, please allow me enjoy threads here!!
4 Reactions
26 Replies
1K Views
YuleBoy hapa.......kuna post nimeweka kwenye forum naona imetupwa kapuni ......humu hadi ue maarufu ndio topic yako ionekane au?
12 Reactions
21 Replies
998 Views
Hello, am new on the Forum.
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Mimi mpya humu jukwaani, naombeni mnipokee.
14 Reactions
66 Replies
2K Views
Ndugu zangu napenda kujitambulisha. Naitwa Muberwa ninaishi Dar es Salaam. Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nawatakia majadiliano mema na siku njema. salamu nyingi ziwafikie...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, JF'ians! I would like to thank Jamii Forums for wishing me a Happy Birthday. It was a pleasant surprise!!
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom