Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
waungwana salama? nimefurahi kuweza kujiunga nanyi kwenye JF, kwa kweli mambo yenu si mchezo. tuko pamoja
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikaribisheni na mimi basi!! .....ndiyohiyo
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello to All, my name is Jozen-Bo. I am happy to be here and see such an active place as this one. I was seeking a technology forums and this popped up in the Google hits. I am interested in...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hellow jamii forums its me albert
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hamjambo wakuu nimejiunga nanyi hapa jf am Ktn shuks from kenya
10 Reactions
24 Replies
1K Views
mfanowake- ni mtafiti Mali kale
3 Reactions
17 Replies
706 Views
Habari ndo mara yangu ya kwanza kutumia jf nimeikubali naamini hakuna utengano , Asanteeeeh
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hodi wanajamii! 👋 Naitwa Oscar Ndayi 🇧🇮, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia 🇮🇩 kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu...
13 Reactions
19 Replies
997 Views
Wasalaam! Mdau mpya kwenye mtandao huu naomba mnipokee!
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Waungwana! Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana, kuonyana,kukosoana, kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia...
2 Reactions
5 Replies
639 Views
Hodi humu ndani natumaini nitajifunza yaliyo mengi
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Nawasalamu wote wana jf naomba kuungana nanyi mnipokee plS
2 Reactions
12 Replies
853 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa TANGANYIKA na Zanzibar. Mgeni mimi, hii nchi naipenda sana😥. Natafuta Mchumba aambatane nami katika haya Mapenzi. Ahsanteni kwa uwepo wenu.
4 Reactions
22 Replies
725 Views
Habari wana JamiiForums, Naitwa nyamwii255 naomba ushirikiano wenu Ahsante.
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Heloooo.... Nina Furaha kuuuubwa sana nimejiunga Leo jf "Home of greater thinker" Nitegemeee mazuri yapi kutoka jf najua hamna mabaya
8 Reactions
104 Replies
3K Views
Wakuu Mimi ni Mgeni humu ndani mnipokee
4 Reactions
15 Replies
720 Views
Samahanini. Mimi ni mgeni hapa JF naombeni mnipokee mnipe na utaratibu uliopo. Nimefurahi sana kujiunga hapa leo.
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hi guyz, Wakubwa shikamooni. Mimi ni mgeni, naomben kujua vitu vya kuzingatia nsije nkajikuta nimepuyanga jomon .
18 Reactions
278 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wadau, Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi. Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Hodi mtaa huu. Nafurahi kuwa mwanafamilia
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Back
Top Bottom