New Member From Mongolian Family

Ghayo TheMongo Barbarian

JF-Expert Member
Oct 27, 2024
256
518
Mzukaa wana jamvi ? Yerereeee!!!

Naombeni wana Jf mnipokee leo nimetimiza ndoto yangu ya kujiunga Jf kutokea Umongolian .

Wanawake ninaowakubali humu ni pisi Kali BICHWA KOMWE - ,Kwa Wanamume najikubali mwenyewe .

Sishabikii timu yeyote ila napenda timu ya Yanga jinsi inavyocheza na kujiendesha.

Nakuchukia sana Taifa linalojiita Israel na udhalimu wao.
 
Back
Top Bottom