Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Baraka za muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima. Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa?yaani nivae suruali na top na kikoti juu? Nina harusi leo ya...
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Ndugu wapendwa ninayo tenda ya kuuza Oriflame product.kama vile #lipsticks #soap bar #lotion #dawa ya nywele #dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu #dawa ya miguu iliyopasukapasuka Navingine. Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
...............
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Wapenzi habari zenu? Nawapenda sana Haya nisaidieni mrembo mwenzenu nirembuke na mimi. Nahitaji steaming nzuri ya kufanya nywele zangu zijae. Nywele nimeweka dawa ya Olive Oil. Je, ni steaming...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Unakuta mtu kamaliza perfume anatunza chupa, kamaliza lotion hatupi kopo dressing table imejaa kama dampo. Maviatu na nguo ya miaka nenda rudi havai, hagawi yanajaza tu space. Jikoni sasa ndio...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Ndg zangu leo tuongelee aina za vifaa vya makup zilizobora na bei zake Naanza ...lipstic aina ya huda," hudumu masaa 24, no nzito ukipaka haiachi alama bei elf 5, Tuendendelee kujuzana vingine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa...
1 Reactions
79 Replies
18K Views
Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja[emoji85]. Nimefikili na kuona ni...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
  • Redirect
Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa...
2 Reactions
Replies
Views
Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Manunuzi ya kwenye mitandao yamerahisisha upatikanaji wa bidhaa ambazo zamani tuliwaona nazo celebrities kwenye magazeti. Hii kweli ni dunia ya utanda wazi. Wenye makampuni wamepunguza gharama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Niko Mwanza kwa shughuli ya kutafuta rizk kwa wiki ya pili sasa. Kama ilivyo kawaida yangu kugeuka geuka pindi mwanamke mwenye chura akipita ili angalau nipige 'paper two'. Kwa kweli kwa sasa...
11 Reactions
59 Replies
10K Views
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule. Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge...
17 Reactions
58 Replies
10K Views
Ni kitu kisichopingika kuwa mtu kuwa na muonekano mzuri anahitaji kuwa na umbo zuri pia. Wanawake hasa waliozaa huwa na matumbo makubwa yanayoharibu muonekano wao mzuri. Mazoezi haya yatakusaidia...
13 Reactions
42 Replies
17K Views
Mamboz!! Wanye uzoefu wa kazi za saloon/hair stylists natafuta Hair Texturizer,mwenye idea wapi naweza ipata naomba anielekeze. Nimezunguka KKoo maduka hawana na wengine hawana hata idea ni kitu...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Knamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Katika harakati za kuendana na mitindo mbalimbali ya maisha kama vile kufanya mazoezi kuweka miili sawa ikiwemo kupunguza tumbo au kukaza misuli ya tumbo tumetokea baadhi ya wanawake...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Back
Top Bottom