Onesho la MetGala Masupastaa wanyukana kwa viwalo


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,046
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,046 2,000
img-20190507-wa0089-jpg.1091669
img-20190507-wa0088-jpg.1091671
img-20190507-wa0087-jpg.1091672Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali

Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kusheherekea ufunguzi wa jumba la maonesho la Metropolitani

Wahudhuriaji huombwa kuvaa kwa kuendana na maudhui ya mwaka husika

Mwaka huu walitakiwa kuvaa kisanii zaidi na mavazi yaliyojawa na rangi mbalimbali
img-20190507-wa0084-jpg.1091673
 
Black ma colour

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
651
Points
500
Black ma colour

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
651 500
Kumekucha, baridi limetaradi, my credit goes to Card b
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
16,086
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
16,086 2,000
Shughuli Ni Watu Na Watu Wenyewe Ndiyo Hao Sasa
 

Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,869
Top