Uvaaji mavazi sahihi wakati sahihi na sehemu sahihi ni Tatizo

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,495
41,916
Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine waheshima walivyo vaa kwenye Ule msiba kimsingi haikuwa sahihi japo Inawezekana kabisa walipendeza lakini Kanisani ni sehemu patakatifu sio pakwenda umevaa kisela au mavazi yenye utata..! Millard akaamua Apige Cap... Katibu wa Fisiemu akaona ashikilie dini yake akapiga Barakashia

Watu wajifunze Kuvaaa mavazi sahihi kwa wakati sahihi na sehemu sahihi hasa Viongozi wetu wa Nchi
tapatalk_1557450111680.jpeg
tapatalk_1557450078068.jpeg
IMG_20190509_184248.jpeg
 
inategemea na umeenda msibani ukiwa unatokea wapi,je kama umetoka kazini ukaamua kupita msibani ndo iwe hairuhusiwi kutokana na mavazi?
 
Mimi naamini ukiwa kama kiongozi wa umma tena mwenye mamlaka makubwa tu, ni vyema kuvaa smart (official) muda wote hasa kwenye matukio yanayokutanisha watu kama huo msiba!! Akina Majaliwa na L. Nyarandu they played well
Yaah na ni waislamu pia...
 
inategemea na umeenda msibani ukiwa unatokea wapi,je kama umetoka kazini ukaamua kupita msibani ndo iwe hairuhusiwi kutokana na mavazi?
Huu utetezi hapo haufit kabisaa... Kwamba millard na bashite walitoka kazini ndo wakaenda pale msibani??? Millars labda mavazi yake na kazi yake sawaa lakini Vip bashite?
 
Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine waheshima walivyo vaa kwenye Ule msiba kimsingi haikuwa sahihi japo Inawezekana kabisa walipendeza lakini Kanisani ni sehemu patakatifu sio pakwenda umevaa kisela au mavazi yenye utata..! Millard akaamua Apige Cap... Katibu wa Fisiemu akaona ashikilie dini yake akapiga Barakashia

Watu wajifunze Kuvaaa mavazi sahihi kwa wakati sahihi na sehemu sahihi hasa Viongozi wetu wa NchiView attachment 1092982View attachment 1092983View attachment 1092984
mkuu nahisi wewe hujawahi kuwaona wanakondoo ambao ni wanasesere wakitoka au kwenda kanisani,dada zetu wengi wanavaa shortdress siku hizi wakienda ibadani.

By the way naweza kusema katika imani zetu out of waislamu sisi dini zingine za hapa bongo land bado hatuna misimamo dhahiri kuhusu nidhamu za kidini including swala la mavazi.
 
Back
Top Bottom