Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...?? NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA...
2 Reactions
125 Replies
22K Views
Habarini waungwana humu ndani. Ninaomba kujua zaidi kuhusu serum na matumizi yake. Je, hazina madhara? Na ipi ni serum nzuri kwa matumizi ya usoni tu? Nataka nitafute serum kwa ajili ya usoni...
1 Reactions
6 Replies
12K Views
Nilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Habarini wana JF.Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia kukatika kwa nywele na kusaidia nywele kuota vizuri?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu Nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia hadi nyumba inanukia vile Nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka...
22 Reactions
156 Replies
71K Views
Habari wadau, Mimi kiasili nina ngozi nyeupe lakini hivi karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hivi, imekuwa kama maji ya kunde hivi, wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu...
1 Reactions
64 Replies
16K Views
Wanajamii naombeni mnifahamishe.Kunawanaume wanavaa pete Mkono wa kulia Utamwona amevaa Pete mbili Moja Ina dude jekundu kwa juu ha nyingine ina dude la Kijani.je ni ulembo au kunamaana nyingine...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu, Nipo Uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara, tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau. Napenda Sana vazi la suti. Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau. Naomba jua. 1 Gharama za suti hiyo? 2. Je Ni ya kushona au ya Dukani? 3. Je rangi yake...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Najua huku kuna wanamitindo na jukwaa linapitiwa sana na watu wengi. Hivyo basi naomba msaada wa rangi (colour of the year) maana ninashughuli hivi karibuni mchangiaji ukitupia na kapicha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nahitaji kufuliwa blanket langu hapa Mwanza. Wapi nitapata huduma ya Dry-Cleaner hapa Mwanza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
11 Reactions
238 Replies
46K Views
Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Redirect
Wana JF habarini? Wajameni ni changamoto kila nikinyoa ndevu vipele huwa vinaniota sana hasa nikitumia wembe, nimeamua kununua mashine ya kunyolea ila bado vinaniota. Kila nikimaliza kunyoa...
0 Reactions
Replies
Views
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing. 1. Inatolewaje na utolewa na akina nani? 2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
  • Redirect
Wadau naomba kuelekezwa lotion au cream yoyote nzuri ya kuondoa madoa na makovu mwilini hususani maeneo ya miguuni, magotini na mapajani. Nawasilisha naomba kuelekezwa, ukiweka na bei sio vibaya
2 Reactions
Replies
Views
Salaam, Shuka langu Jeupe lilipata bloodstain usiku, asubuhi nikaliloweka na sabuni ya Doffi, nikalifua jioni, Lakini madoa hayajatoka. Je nawezaje kutoa hayo madoa..? Asante
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari. Kwa wale mliotumia haya mafuta naomba mrejesho maana nataka kiyatumia.
0 Reactions
44 Replies
31K Views
Back
Top Bottom