Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Naomba kufahamu viwango vya bei ya suti kwa huyu jamaa Sheria Ngowi, ni bei gani?
3 Reactions
246 Replies
76K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. 1. Ethiopia 2. Eritrea 3. Somalia 4. Rwanda. 5. Afrika kusini 6. Ivory coast 7. Nigeria 8. Kenya 9.Tanzania 10. Ghana.
8 Reactions
245 Replies
62K Views
Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu...
1 Reactions
241 Replies
69K Views
Leo mr Prez alikuwa anacheki game ya staz VS uganda Code(Nguo) alizotupia nimezielewa, CC Zero IQ
15 Reactions
239 Replies
27K Views
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
11 Reactions
238 Replies
46K Views
"ARUSHA kuna uvaaji mzuri sana kulinganisha na der esalam"…. Salama jabiri
16 Reactions
233 Replies
44K Views
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahidi angalau mfue boxer zenu kila Siku, nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu. Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi boxer zenu na...
23 Reactions
232 Replies
33K Views
Simaanisha usafi wa nguo, hapana! Huko chiniii. Jana jumapili nilienda lodge na dada mmoja hivi ukimuona kwa mavazi ni msafi sana, lakin huwezi amin baada ya kupiga round mbili sikua na ham tena...
19 Reactions
230 Replies
16K Views
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania...
5 Reactions
230 Replies
32K Views
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini.... Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk...
14 Reactions
226 Replies
64K Views
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
9 Reactions
225 Replies
60K Views
Je unajua umuhimu wa perfume kwenye mahusiano? Mpenzi wako anapokuwa na perfume permanent inatengeneza harufu yake ya kipekee inayomtambulisha. Sasa ikiwa hivyo inaongeza intimacy! 1. Freedom to...
10 Reactions
222 Replies
21K Views
Ulishawahi kujiuliza labda ndani ya 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa? Je, wanawake pia waliweza...
10 Reactions
221 Replies
13K Views
  • Closed
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo...
7 Reactions
221 Replies
36K Views
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa. Sio mkaka unanuka mijasho all...
24 Reactions
214 Replies
10K Views
Kama unavojua kesho ni J3. Wenyewe mnaita Blue monday. Nimetoka zangu church mida ya saa 7 nikapata msosi hapohapo church kuna canteen mradi wa akina mama. Then nikaseme niende Salon nikafanye...
43 Reactions
210 Replies
18K Views
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya. Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui...
62 Reactions
206 Replies
20K Views
Good morning jf..... Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao...
5 Reactions
204 Replies
33K Views
WANAWAKE wengi watakiri kuwa nywele za sehemu za siri ni kero hasa katika kudumisha usafi au kuonekana nadhifu wakati wa mahaba. Sababu hii imewapelekea wengi kutafuta mbinu na bidhaa mbalimbali...
10 Reactions
200 Replies
87K Views
Back
Top Bottom