Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari wakuu, Baadhi ya watu hawajui kutofautisha matumizi ya perfume na body spray?! Je wewe wajua?
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu salaam Sina lengo la kukashfu maumbile ya mtu, bali kutaka kujua sababu ziwe za kisayansi au nyinginezo. Kuna binti nipo naye karibu mazingira ya ofisini kwetu. Huyu binti ni nzuri na...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani...
1 Reactions
7 Replies
658 Views
Wanasifika kwa kuwa na Kipulilo aka Komwe. Nini Chanzo cha Tatizo hilo? Unakuta dada mzuri tu maskini sura huku chini inavutia ila ana Komwe. Na nywele zimeanzia karibu na kati kati ya kichwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mastaa wakubwa kama wafilamu na muziki hasa nchi za nje unaweza kuona zamani walikua wakijiachia na magarden love lakini saivi vifua vyeupe. Wakuu tutaje hapa viondoa garden love kama ni lotion...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui? Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamii! Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanaume anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote...
1 Reactions
51 Replies
27K Views
Habari wakuu, Je vipi mshakunywa chai huko? Maana huku sukari inalingana na mishahara yetu. Baada ya salamu hiyo na utani kiasi sasa naomba nijikite kwenye kilichonileta. Ni kuhusu nguo hasa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini ndio majukumu au nini hii. Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini. Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?
8 Reactions
105 Replies
16K Views
Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa. Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
4 Reactions
98 Replies
3K Views
Wasalaam, kutokwa na jasho ni kitendo cha kiafya ila ikizidi inageuka kero na kukosesha amani. Huwa najisikia ovyo sana kuona nguo yangu imeloa jasho sehemu ya kwapani kwa jua la sasa yani nguo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Redirect
Habari wadau, Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu watanashati habari, Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
1 Reactions
11 Replies
772 Views
Zenye ubora ni zipi?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Yaani ninaoga najisugua vizuri lakini nikipitisha mkono bado naona kuna vile vi uchafu vinatoka. Ni sabuni gani nzuri ya kuogea ambayo inaweza kuondoa uchafu wote? Naombeni ushauri wanabodi
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na...
2 Reactions
6 Replies
893 Views
  • Redirect
Wadau nimekaa na (tatoo) yapata miaka 20 sasa, nilichorwa na kaka yangu aliyekuwa akiishi THAILAND, nimekuja kuona haina faida yoyote kwangu, kibaya zaidi ni ile ya kuweka wino kwenye sindano na...
0 Reactions
Replies
Views
Naumia mno, siyo kwamba nakataliwa, la, ila nakuwa insecure kiasi fulani. Nywele zangu ni nyekundu sana, na sifahamu bado ni dawa gani ninaweza tumia. Super blacks situmii na hata kuzisikia...
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom