Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wana jf salaam, Miaka kadhaa iliyopita wavaaji wa jeans walionekana ni vijana wa kihuni ,lakini miaka ya karibuni vali hili limezijolea wavaaji wapya wenye heshima zao, licha ya kuwa kwa Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi. Shida ni nini hasa?
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Hello wanajf Leo nilikuwa kijiji msanga kwenye shughuli aisee nikapata kushangaa dukani nakuta pempas wanauza moja moja nikamuuliza muuzaji je zinatoka akasema mnoo watu awawezi kwa wingi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda kua modo hatua gani nipitia ili niweze kufika kwenye ndoto yangu au kama kunamtu anaweza kunichukua kuweza kuvaa na kupiga picha kupost mitindo yake Niko tayari mvuta ninao mwili wakuvaa nao
0 Reactions
8 Replies
1K Views
First and Foremost, every woman who is alive today has her unique quality of making herself look absolutely stunning. And the fact of the matter is that, it doesn't not matter how much a budget a...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Habari za mchana wanajamvi Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni 1.Wanawake wengi wanapenda...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini. Chimbo gani Kariakoo waungwana?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nikianza mimi Huwa natumia mswaki wiki mbili Natupa,Yaani ukichange shape yake(ukianza kuchambuka ). Wakuu Embu tujali afya ya kinywa.Unakuta mtu mswaki una Miaka miwili mpaka minne,. Alafu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Let Be Real. Mwanamke mwili wake ndio pambo lake, ndio maana wanasema mwanamke uwa, Mwamke aliye Smart anaujari mwili wake kwenye maeneo tofauti tofauti. Kwa mwanamke aliye Smart hawezi jiachia...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Nimekuwa nikitafuta mafuta ya massage kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ningependa kujua ni mafuta gani ambayo ni bora zaidi kwa kufanyia massage na nikijua na bei itakuwa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour. Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
3 Reactions
27 Replies
13K Views
Kumbe bwana hata waafrica tuna nywele ndefu tu kama wazungu Hii thread Ni maalum kwa watu wenye nywele natural I mean tunaotaka nywele ndefu bila dawa aka relaxer Hapa tutashare uzoefu Nini Cha...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu wasalaam. Kheri ya mwaka mpya. Mwenyezi Mungu akatujalie afya njema na mafanikio tele 2021. Ndugu wana JF, natafuta hizi sabuni aina ya ALFA kama inavyoonekana Pichani. Hizi sabuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
^suruali ya kitenge ^mavazi yenye rangi ya pink ^kaptula (kwenye halaiki au event) Kwanini?? #wataalam wa "pamba" nisaidieni hili
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi, Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye...
4 Reactions
58 Replies
7K Views
wakuu nahitaji perfume au bodyspray nzuri ya bei rahisi kikwapa kinanitesa saana msaada wenu
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika matukio yaliyotrend week iliyopita moja wapo ni wedding reception ya Mboni Masimba,mwanamama machachari mwenye kipindi chake TBC -Mboni talk show. Mboni aliolewa na bwana Tajiri mwezi mmoja...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Mtu anae fanya mazoezi ya kukimbia anaweza ondoa kitambi au mpaka aende jim.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom